1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable...