Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2025 wakidai amewaibia kiasi cha shilingi laki mbili kwenye mkoba alipoenda kudai malipo yake.
Akiongea na EATV...
Msanii maarufu wa vichekesho nchini, Gladness Kifaluku amewataka wanawake kuwa makini zaidi na wafanyakazi wao wa ndani baada ya kukumbwa na tukio la kusikitisha. Gladness aligundua kuwa mfanyakazi wake wa ndani alikuwa akificha vitu vyenye ncha kali kwenye pochi na kumuibia fedha.
Tukio hili...
Jana na Leo kuna Habari ilisambaa kwenye Mitandao now imewekwa BBC kuhusu Tajiri namba moja UK mwenye asili ya INDIA Ajay Hinduja kufungwa miaka Minne jela yeye mkewe na watoto wake kwa kosa la kutumikisha Wahindi wenzao kutoka India kwa kazi za Ndani kwa mshahara mdogo sana
Wamefungwa huko...
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.
Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.
Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,
TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌
NAFASI ZA AJIRA MPYA
Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
Wafanyakazi wa kazi za ndani wanatekeleza majukumu muhimu katika familia wanazofanyia kazi. Kazi zao za usafi, upishi, kutunza watoto, na mambo mengine ya kila siku ya nyumbani zinawawezesha waajiri kushughulikia majukumu yao ya kila siku na kuwa na muda wa kufanya kazi nyingine za kitaaluma au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.