Utangulizi; Muda mrefu mfumo wa ufanyakazi kwa serikali umekuwa wa kuajiliwa jumla, jambo ambalo limekuwa likifanya watumishi wengi wafanye kazi kwa mazoea,wakose uadilifu nk. Yote ayo ni kutokana na wafanyakazi awa kuwa na uhakika wa kazi kwamba hata afanye kosa gani anajua ataendelea kuwepo...