wafanyakazi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAZIA 3

    Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  2. K

    SoC04 Uchovu wa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Tanzania

    Utangulizi Uchovu wa wafanyakazi katika sekta ya umma ni tatizo la kimataifa linalojulikana kwa kuchoka kihisia, kupoteza ari ya kazi, na kupungua kwa hisia za mafanikio binafsi. Hali hii ni ya kawaida zaidi nchini Tanzania kutokana na sababu mbalimbali za mfumo, shirika, na mtu binafsi. Insha...
  3. S

    SoC04 Mgawanyo Bora wa Madaraka na Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma

    Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
  4. L

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya Mimi naomba utaratibu ubadilike Ili Kila mtu awe huru kuchangia anapohitaji
  5. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Biashara za Wafanyakazi wa Umma zinaleta Migongano ya Kimasilahi na Upendeleo

    BIASHARA ZA WAFANYA KAZI WA KAZINI ZINA PELEKEA UPENDELEO NA MIGONGANO YA KIMASILAHI Kufanya biashara ukiwa offisini sio jambo baya kabisa ni sehemu ya kujiongezea kipato, kwa sababu ni vigumu sana kuishi kwa kutegemea mshahara wa mwezi, hivyo njia pekee ni ya kufanya kazi za kando wanaita nah...
  6. JanguKamaJangu

    Zimbabwe: Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara kwa 100%

    Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%. Inamaanisha kuwa bei katika maduka imepanda kwa karibu kiwango sawa na nyongeza ya mishahara. Ongezeko la mshahara limeanza...
  7. Protector

    Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara mkia wa mbuzi

    Husika na kichwa habari hapo juu kama kinavyojieleza.
  8. D

    Wafanyakazi wa umma wanaongezewa mishahara. Je, mimi mwananchi wa kawaida nitafaidi nini na fedha za Serikali yangu?

    Wapendwa, hongereni kwa kazi. Najaribu kufikiri kwa kina, kisha naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Najiuliza; Fedha au mali za umma ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali tofauti yoyote. Je, Wafanyakazi wa umma kuongezewa mishahara kwa fedha za umma na Watanzania wengi zaidi ya...
  9. Lord Diplock MR

    Mahakama ya Rufani: Maamuzi ya Rais kuhusu Wafanyakazi wa Umma ni ya mwisho

    MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya kusikiliza na kutolea maamuzi kesi zinazohusu migogoro ya wafanyakazi wa umma. Kupitia kesi ya...
  10. Erythrocyte

    Serikali yakiri makosa kuwalazimisha Wafanyakazi wa Umma kununua laini ya simu ya TTCL

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili...
Back
Top Bottom