Serikali ya Manispaa ya Jiji la Tokyo Nchini Japan inatarajia kuweka ratiba mpya ya kazi kwa wiki nzima kwa Wafanyakazi wa Serikali ambayo itaweka bayana kwamba siku za kazi sasa zitakuwa nne tu kwa wiki (Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi) huku siku za mapumziko zikiwa tatu kwa wiki...