wafuasi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kipara kipya

    Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

    Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake, Kiasi...
  2. witacha matiku

    Imefika wakati viongozi na wafuasi wa CHADEMA kusikiliza hata wanaofikiri ni wajinga

    UMOFIA wana Jukwaa! Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha. I expected as a strong political party to bring cream people to its members without this nonsense & stupidity. CHADEMA hakijafikia level za Chama cha Mapinduzi huku tunazinguana kwa...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa

    Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Polisi yatoa taarifa ya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA, wawataka kufuata sheria

    TAARIFA KWA UMMA 12 Agosti, 2024 Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia katazo na kupiga marufuku kongamano la vijana wa CHADEMA lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya siku ya jumatatu Agosti 12, 2024 kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya...
  5. Kikwava

    Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

    Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo. 1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk 2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
  6. Etwege

    Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

    Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu. Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa...
  7. Yoda

    Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

    Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
  8. Kikwava

    Angalizo: Wafuasi wa CHADEMA msigeuze changisha changisha yenu kuwatapeli watu

    Huu utaratibu wa kuwachangisha watu kwa sababu mbalimbali unamapungufu mengi sana tunaomba serikali iingilie Kati kuna ufisadi mkubwa sana Wananchi wanafanyiwa kupitia hii michango ambayo wafuasi wa chadema wamekuwa wakichangisha watu kila uchao na ukijaribu kuhoji kidogo tu juu ya mapato na...
  9. Idugunde

    Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  10. Abdalah Abdulrahman

    Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  11. Getrude Mollel

    Mioyo ya Wafuasi wa CHADEMA imesagika vyakutosha

    Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA. Matendo ya chama yanaweza kuimarisha imani ya wanachama/wafuasi ya wanachama kwa chama chao, au kuzorotesha kabisa. CHADEMA kwa...
  12. J

    SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

    Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo. Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
  13. JanguKamaJangu

    Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
  14. the numb 1

    Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

    Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
Back
Top Bottom