Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?"
Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba"
Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu .
Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi...
Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA.
Swali langu: Je, Lissu alipigwa risasi kwa sababu ya kuipigania CHADEMA? Alikuwa anaipigania CHADEMA kwa lipi hasa?
Je...
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.