Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano wanahitaji misaada ya kibinadamu ili waweze kuendana na hali halisi ya maisha kama binadamu wengine...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.
Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?
Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?
Au Citizen wanamchafua rais wetu?
=====
Serikali ya Tanzania yakanusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.