Asema anaongoza watu wazembe sana, wana mvua ya kutosha hivyo hauhitaji kujituma Uganda ili upate msosi, wengi wapo wapo tu siku ziende......
Japo binafsi nimefanya kazi na Waganda, huwa wanajituma ila kuna kaukweli kuhusu hilo la mvua, mataifa ya Kiafrika yasiyokua na majanga ya ukame yanaishi...