Wataalamu wa jadi wapo dunia nzima kila sehemu wapo.
Katika maisha ya binadamu kuna mauza uza mengi sana. Kuna mda binadamu anashindwa kupata hata usingizi kutokona na mambo kuwa tight. Kila mmoja anajua ni jinsi gani anajua kutatua changomoto kama hizi wengine wanamalizia stress na pombe...
Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa sugu.
Hayo...
Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo.
Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri.
Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Maximillan Iranqe amewataka waganga wanaojishughulisha na tiba asilia mkoani Arusha kuwekeza zaidi katika tafiti za mimea inayotibu maradhi ya mbalimbali kama nchi za barani Asia hususani China.
Pia awataka waganga hao kujiepusha na vitendo vya utapeli ili kuipa...
Kwa wanaoelewa madhara ya sasa ama baadae ya haya machale ya waganga wa jadi tafadhali tuwekee humu jamvini ili watu wafanye maamuzi magumu maana wivu mtaani umekuwa sugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.