Posho ya madaraka kwa waganga wafawidhi.
Kwa muda mrefu sasa, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya nchini wamekuwa wakitekeleza majukumu mengi mazito ya kiuongozi bila kutambuliwa ipasavyo kwa malipo yao. Mbali na kuhudumia wagonjwa, sisi ndio tunasimamia watumishi, tunaratibu...
Anonymous
Thread
mishaara watumishi wa umma
wagangawafawidhiwazahanati