- Awaondoa raia wa kigeni kwenye Leseni ya Uchimbaji mdogo kwa kukosa mkataba wa msaada wa kiufundi
- Aagiza maofisa madini nchini kufanya operesheni ya ukaguzi wa mikataba ya msaada wa kiufundi
- Awataka wenye Leseni kubwa ya biashara ya madini kukaa kwenye masoko ya madini badala ya kwenda...