Katika mapokezi ya kumpokea makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nimeona watoto wawili(2) wa kumpokea kwa maua uwanja wa ndege, lakini nasikitika kusema itifaki haikuzingatia uwakilisho mzuri na mpana wa taifa letu.
La jana limepita ila kwa wageni wakubwa watakaofuata tena baadaye...