Hivi karibu kumekuwa na Ajali nyingi za ndege ambazo zimechukua uhai wa watu wakubwa Duniani, imefika mahala jamii inatilia Shaka Uhalisia wa ajali hizi hasa kwa viongozi fulani.
Tujikumbushe Kidogo baadhi ya Viongozi waliofariki katika ajali Hizi za ndege katika maeneo Tofauti.
1. Yevgeny...
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..
Ni maamdalizi ya kazi kubwa
‼️Join Orchestra‼️...
Skip links
Skip to Content
LIVE
News
Niger’s military rulers ask for help from Russian group Wagner
The new military government seeks help from Wagner mercenaries against ECOWAS intervention, according to a news report.
The streets of Niamey, the capital of Niger, days after the coup [File...
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger
1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi
2...
Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi.
Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation.
Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu (waziri wa ulinzi ) Kwa madai ya kuagiza Kwa Siri kulipuliwa Kwa baadhi ya kambi za Wagner
Wagner...
Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika maeneo mbalimbali inazidi kuoenkea ndani ya Urusi, kwa sasa wapo Voronezh na kuna taarifa wanataka...
Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.
Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.
Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
"Kuna sababu kadhaa, kwanza wanahitaji angalau ushindi wa mbali, kwa sababu tayari wameifedhehesha dunia nzima wakati hawana uwezo wa kuchukua kituo cha mkoa kwa zaidi ya miezi 9
Cherevaty, in an interview with Ukraine's Radio NV, said there are two significant reasons why Prigozhin appears to...
Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa.
Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba.
Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini.
Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two.
Mission za hawa jamaa kuna nchi...
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao wakiwa hawana uzoefu na mafunzo ya Kivita.
Jeshi la #Ukraine limesema Wapiganaji wa Wagner ambao...
Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.
Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi...
Wakuu habari za muda,
Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.