Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
๐ช๐ฎ๐ท๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ด๐ผ๐บ๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐๐๐๐น๐ :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa HAWAJIUZU. Hawajiuzulu kwa sababu hawajafanya kosa lolote, wao wamejitoa sana kwa klabu sometimes...