wagombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Rais Dkt. Mwinyi asema Fitina zilikuwa zimeshaanza kuingia wagombea urais CCM, Mkutano mkuu ulimaliza kazi yake akisisitiza vyama vingine hayawahusu

    "Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
  2. Pre GE2025 Makalla: Wagombea Urais Tanzania na Zanzibar kutambulishwa Februari 5

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa...
  3. Kikatiba na Kikanuni, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2025 Wamesigina Haki za Wanachama wa CCM Kwa Kufanya Uteuzi wa Wagombea Urais Bila Notice!

    Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni. Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
  4. Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
  5. Pre GE2025 Maswali tisa ya umuhimu na ya Msingi ya Kuwauliza Wagombea Urais Tanzania

    Uchaguzi mkuu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoongoza nchi kwa kipindi fulani. Katika kipindi hiki cha kampeni, wananchi wanapaswa kutumia fursa hii kuwauliza wagombea maswali magumu ili kupata uelewa wa kina kuhusu sera zao na maono yao ya kuongoza nchi. Andiko hili...
  6. Pre GE2025 CCM: Mapendekezo ya Mdahalo kwa Wagombea Urais Tanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
  7. Pre GE2025 Mdahalo wa wagombea Urais wa TLS ulikuwa "fantastic". Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025 waige mfano huo

    Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma...
  8. Pre GE2025 2025 tunahitaji mdahalo wa wagombea Urais kama ilivyofanyika kwa TLS. Unawaweka wagombea kwa uhalisia wao, hakuna longolongo

    Wakuu, Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv. Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024 Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu...
  9. Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

    2025 mtajaribu? Mama anakubalika.
  10. Pre GE2025 Napendekeza Uchaguzi wa mwaka 2025 kuwe na Mdahalo wa Wagombea Urais Tanzania

    Habairini za kazi ndugu Watanzania, Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa Wagombea wote wa Kiti cha Uraisi Tanzania. Pia ningependekeza mdahalo uwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…