Wakuu,
Wakala wa Chadema Edward Odingi ameshikiliwa na jeshi la polisi mara baada ya kuchukua boksi la Karatasi za kupigia kura na kuondoka nazo akiwa na mgombea wake
Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani mwanza Wilbrod Mutafungwa askari aliyekuwa akilinda katika kituo hicho...
Wakuu,
Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ.
=====
TAARIFA KWA UMMA
Zipo taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii na Vyombo vingine inayoonyesha kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Katavi, Roda...
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi za waliokuwa wagombea wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakati wa ufunguzi wa Kampeni...
Kwa mujibu wa Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA), Twaha Mwaipaya, amesema, Wagombea 20 wa CHADEMA katika Kata ya Mwaya, Jimbo la Kilombero, wapo magereza baada ya majina yao kuenguliwa bila rufaa wala pingamizi tarehe 18 Novemba. Viongozi na wanachama hao...
Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
Wana Jf habari za kwenu.
Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha
Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi tunaowataka
Swali: Tunaenda kumchagua nani kama wagombea wanaenguliwa?
Binafsi nimepoteza matumaini...
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
Wakuu,
Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi hayo lakini bado walioweka mapingamizi wamekosa fursa, Demokrasia yetu imekomaa kabisa!
Sasa hivi...
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.
Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Masanja Musa Katambi akizunguza na Waandishi wa Habari, leo Novemba 12, 2024.
Amezungumzia Kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi.
PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi.
Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo...
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa.
Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali...
mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo
FRV. Gaspar E. Temba...
November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao.
Unadhani kwa...
Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao
CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea Zitto Kabwe
Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe
Ni hilo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.