Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...