wagombea walioenguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  2. Mtoa Taarifa

    LGE2024 TAMISEMI yaongeza muda wa kupokea Rufaa za Wagombea wa Serikali za Mitaa, yaagiza walioenguliwa kwa kutodhaminiwa na Vyama warejeshwe

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa ametangaza kuongeza muda wa Kamati za rufani za Wilaya wa kupokea, kusikiliza na kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa kwa muda wa siku mbili zaidi kutoka November 13, 2024 na sasa rufaa zitapokelewa, kusikilizwa na kutolewa uamuzi hadi November 15,2024...
  3. mwanamwana

    LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: CHADEMA yaapa kuwarejesha wagombea walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wanarejeshwa, akisisitiza kwamba watafanya hivyo bila woga hata kama hawatapendelewa na mamlaka...
  5. Roving Journalist

    LGE2024 CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa

    TAARIFA KWA UMMA Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa jana Novemba 08, 2024 akizungumza Waaandishi wa Habari jijini Dodoma alisema kuwa wagombea walioenguliwa wakate rufaa na kuwa rufaa hizo zitasikilizwa kwa haki. Baada ya kauli hiyo ya Waziri jana, leo Novemba 09, 2024 tunapokea...
Back
Top Bottom