IDADI kubwa ya wagonjwa wa moyo wanaotoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, wanapata maradhi hayo kutokana na unywaji wa pombe kali uliopitiliza, wataalamu wamebaini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge alisema mwishoni mwa wiki kuwa...