Siku za hivi karibuni kumekua na vifo vingi vinavyohusiana na saratani.
Mwaka jana tulizika ndugu yetu,mwanamke wa umri wa miaka 46 aliyekuwa anasumbuliwa na saratani,aliugu muda mrefu pamoja na maumivu makali.
Juzi kuna kijiji nilienda kuna mama mmoja namfahamu ni mama mtu mzima umri miaka 64...