wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  3. JamiiForums Tanzania RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

    Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona! Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona? Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na 1. Waziri mkuu 2. Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

    Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa. Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
  6. JamiiForums Tanzania Chato: Wauguzi wahamishwa kituo madai kuomba wagonjwa rushwa 90,000/-

    WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa. Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili la wagonjwa kulipa wakati wa matibabu litasababisha vifo vingi

    Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba nimshauri Rais wetu: 1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

    😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wagonjwa mahututi wa Virusi vya Corona barani Afrika wapo hatarini zaidi kupoteza maisha

    Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani. Kwa mujibu wa Utafiti huo, hali hiyo ni kutokana na Hospitali kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu ambavyo vinasaidia kuokoa...
  10. JamiiForums Tanzania Mitungi milioni 4 ya oksijeni yahitajika duniani kote kila siku kwa wagonjwa wa COVID-19

    Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
  11. O

    JamiiForums Tanzania NHIF na manyanyaso kwa wagonjwa

    Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

    63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona. Zaidi soma hapa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wako kimya sana Eid El Fitr hawajaenda hospitalini kutoa zawadi kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka, kwanini?

    Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii. Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wagonjwa waliokaa ICU wapo kwenye hatari ya kujidhuru na kujiua

    Utafiti uliofanywa na Watafiti kutoka Ottawa umebaini kulazwa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) huongeza hatari ya Mtu kutaka kujiua au kujidhuru baadaye. Imeelezwa, kitendo hicho kinaweza kuwaathiri Wagonjwa kwani kukaa Hospitali wiki au miezi kadhaa kisha kupitia kupindi cha uponaji ili mwili...
  15. JamiiForums Tanzania Iraq: 82 wafariki baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali inayohudumia wagonjwa wa covid-19

    Watu 82 wamefariki wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn Khatibu ambay ina wagnjwa wa COVID19, Jumamosi Usiku. Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi amemsimamisha kazi Waziri wa Afya ili kupisha uchunguzi wa tukio hilo. === At least...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili/ wanasheria wa Tanzania sikilize questioning ya Pulmonologist by prosection kuhusu kesi ya George Floyd, kuna knowledge kubwa ya kujifunza

    Kuna live prosecution, very interesting kuna maarifa makubwa mtayapata katika kesi za mauaji. Jebra, Lisu, na wengine fuatilia.
  17. JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa. Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane. Chanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa sugu wa figo kati ya 4,800 hadi 5,200 ambao wanahitaji huduma ya kusafisha damu au kupandikizwa figo

    Serikali imelenga kuziwezesha Hospitali zote za Rufaa za Mikoa (26) nchini ili kuweza kuanzisha huduma za matibabu ya ugonjwa sugu wa figo ikiwemo usafishaji damu ifikapo mwaka 2025. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

    Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake. Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima. Chanzo: Upendo TV Maendeleo hayana...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

    RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa “Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…