Habarini za jioni waumini
Mtaani kuna wale jamaa wanakopesha bidhaa hasa kwa wanawake au wake za watu, hawatumii nguvu kudai na wakiambiwa hela hakuna wanaelewa.
Niliona mmoja akiombwa kusamehe deni lililo baki na mke wa mtu, akasema tutaongea vizuri kwenye simu, tafsiri nyepesi ni kwamba...