Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao.
Juzi kati niliona India wakiwapokea watu wao.
Hawa wa kwetu mbona hawarudi hadi leo hii au wameambiwa warudi kwa miguu?
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.