Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala.
Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo.
Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu...