Kama mlivyoona juzi mwakilishi wetu, Kiukweli katika uongozi wa mama watu wanajenga na nchi. Miradi mingi inafanya kazi hivyo kwenye sekta ya uhandisi kiukweli tunanufaika sana.
Asante mama, nina imani ukipata mitano mingine Nchi itafika mbali sana.
Pia soma=> Kuelekea 2025 - Wahandisi na...
Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.
Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za...