wahasibu wa taasisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Baadhi ya wahasibu ni changamoto kubwa kwenye Taasisi. Wakati wote wakitafutwa majibu ni “Wako Benk” kutwa nzima

    Kinachowafanya msilipe pesa kwa watu kwa wakati ni nini? Pesa unakuta zipo lakini mtu hatoi makusudu. Ofisi muda wote imefungwa basi mnakaa nje ya ofisi yake muda wote kumsubiri yeye tu. Anakuja kutoa kwa wakati wake. Halafu muda wote wakitafutwa unaambiwa wako Benk. Na kutoa pesa kwa...
Back
Top Bottom