wahehe

The Hehe (Swahili collective: Wahehe) are an ethnic and linguistic group based in Iringa Region in south-central Tanzania, speaking the Bantu Hehe language. In 2006, the Hehe population was estimated at 805,000, up from the just over 250,000 recorded in the 1957 census when they were the eighth largest tribe in Tanganyika. There were an additional 4,023 of them in Uganda in 2014.Historically, they are famous for vanquishing a German expedition at Lugalo on 17 August 1891 and maintaining their resistance for seven years thereafter under the leadership of their chief Mkwawa.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Wahehe walikuwa na uhakika gani kwamba fuvu walilopewa ni la kichwa cha Mkwawa?

    Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
  2. W

    Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  3. G

    Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

    Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya Dodoma - Warangi Manyara - Wambulu (wairaqw) Singida - wanyaturu na wanyiramba
  4. NetMaster

    Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  5. Ashampoo burning

    Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  6. NetMaster

    Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material, Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari /...
  7. M

    Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

    Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa. Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
  8. sky soldier

    Kwa mtazamo wangu kinachozungumziwa kwa wanawake wahehe na wabena kusifika kwa upole nakubaliana nacho

    Wengi (Sio wote) Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa. Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi kikubwa. Narudia tena, sio wote ila ni wengi.
  9. 2019

    Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

    1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia. 2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
Back
Top Bottom