wahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  2. Je, wahindi ama kihindi ni hoja ya makabila Tanzania?

    Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika. Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
  3. K

    Kampuni za wahindi zina vituko sana aisee

    Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga. Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa...
  4. Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  5. G

    Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia. Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud Ni boss...
  6. D

    Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

    Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta. Chukua tahadhari.
  7. Ndugu zetu wahindi...kina Kanjibhai

    Zamani tulipokuwa vijana wahindi wengi sana walikuwa wanafanya kazi Bank...hata humu NBC kabla haijavunjwa na kuzaa NMB wahindi walikuwa kibao...kuanzia miaka ile ya 60 mpaka sabini mwishoni wakaanza kupungua...wengi wanafanya biashara zao na wengine walikimbilia CANADA.. uzi tayari..... :) :D...
  8. DOKEZO Serikali itupie macho viwanda vya wahindi, kuna unyonyaji mkubwa dhidi ya wafanyakazi

    Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo sana. Unamlipaje mtu kutwa elfu 7 yaani atoke asubuhi mpaka jioni saa 11 unampa elfu 7? Hakuna...
  9. Wahindi walioko Tanzania huwapeleka watoto India kwa lazima kujifunza ugumu, ubahili

    Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India either Kusoma au kwenda kujifunza Ubaya. Hata kama kaenda kusoma India pia lazima akajifunze na Ubaya...
  10. Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel. Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel. Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel. Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
  11. Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  12. Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  13. G

    Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

    Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage. waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha...
  14. Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  15. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  16. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  17. G

    Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
  18. C

    Wahindi wananyanyasa wafanyakazi wazawa makazini

    Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna. Serikali ianze kuwafatilia hawa watu...
  19. B

    Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

    Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi. Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo mzima wa maisha yao lakini bado kuna nafuu sana ukilinganisha na ya kwetu sisi watu weusi. Hizi jamii...
  20. P

    Wakuu hii chachua ya wahindi irudishwe tu.

    Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai. Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi wanaweza kumudu vipi na sisi tukashindwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…