Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
Unafiki wa waislamu, wao wanalazimisha sharia zao uzunguni, wakiguswa kidogo hung'aka sana, ila wao wachokozi, wana ugomvi na kila dini dunia hii, mavita vita kila mahali na ukizingatia uislamu ndio dini changa kati ya zote, dini iliyobuniwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla hapo hakuna sehemu...
Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo.
---
Aizawl, India – Joseph Haokip, an undergraduate student in Manipur, is excited at the thought of going to Israel. He is ready to join the...
Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo...
Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote.
Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi.
Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan.
Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja.
Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea Waislam kujitenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.