Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...