Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo kutoka HESLB na wengine wanaotaka kuomba katika vyuo vingine bila kujali kama wanaomba mkopo au la...