wahujumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  2. J

    Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

    Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo Source Mwananchi Mlale unono 😃
  3. Yoda

    Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  4. MAHANJU

    Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

    MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM. 1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme? 2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
  5. The Burning Spear

    Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  6. G

    TBS ni wahujumu uchumi

    Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake. Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na...
  7. Mmawia

    Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

    Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19. Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
  8. Tajiri wa kusini

    Sheria itungwe watu wote wanaotumia Tecno, Infinix na Itel wawe wahujumu uchumi

    Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
  9. BARD AI

    Mbarali: Wahujumu uchumi wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 65.5

    Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi. Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
  10. Idugunde

    Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

    👇 Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum #LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
  11. kipara kipya

    Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame , yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la...
Back
Top Bottom