Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kwa niaba ya serikali ya mkoa huo ameanzisha hamasa ya kuanzisha mfuko mahsusi kwa ajili ya wasanii wa 'maigizo' pekee ambapo kwa kuanzia itatolewa milioni 15 kwa ajili ya mfuko huo
Chalamila ameeleza hayo leo, Jumatatu Novemba 04.2024 alipotoa...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Kumekuwa na Mwingiliano Mkubwa kiasi kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Nani ni kiongozi wao?
Ofisi za Bongo movie ziko wapi?
Nani anahusika kuchagua waigizaji kunapotokea fursa na wanaangalia vigezo vipi?
Na je kama una kipaji unaanzia wapi au ndo ile uanze kujikomba na kutoa virushwa...
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".
Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule.
Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni.
Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri.
Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.
Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa yaani.
Director analazimisha story isiidhe ili aendelee kupiga pesa. Matokeo yake inapoteza mvuto...
Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi.
Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT
Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa.
Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music.
Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa...
Kwa wale wafuatiliaji wa filamu mnakumbuka Harry Potter and the Philosopher’s Stone au kwa jina lingine Harry Potter and the Sorcerer's Stone Moja ya filamu ambayo niliikubali sana, hii filamu ilitoka mwaka 2001, hivi ndivyo waigizaji wa filamu hii walivyo sasa.
Dudley Dursley (Harry Melling)...
Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano yanayoendelea.
Maandamano yanayoendelea yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa chanzo...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
Habari za kushinda wakuu.
Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.