waimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

    Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini 1. Rose Mhando hana ndoa 2. Martha Mwaipaja hana ndoa 3 Bahati Bukuku hana...
  2. Gulio Tanzania

    Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

    Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye mapenzi Mchungaji alitumia neno "tuliwafuma live" inawezekana jirani walisikia sauti za mahaba ikabidi...
  3. Damaso

    Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
  4. Zanzibar-ASP

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini...
  5. Ncha Kali

    Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  6. Pang Fung Mi

    Waimbaji wa Injili wamekosa Dira mpaka wamevamia content zetu za minyanduo ni hatari kwa Ukristo siku za usoni

    Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara. Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo. Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji. Toba Toba...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Habari za jumapili! Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo. "Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo. Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
  8. dvj nasmiletz

    Natafuta waimbaji wa live band katika baa yangu mkoani DSM

    NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo...
  9. vibertz

    Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  10. Justine Marack

    Nyimbo/album hizi kama zingetoka leo zingeleta utajiri kwa waimbaji

    Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo. 1. Maria Salome -Saida Karoli. 2. Starehe & Kamanda- Ferouz. 3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando...
  11. Faana

    Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  12. Championship

    Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

    Vigezo vilivyotumika: 1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu 2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo 3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika 4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi. Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama...
  13. D

    Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  14. Mwalimu wa tuisheni

    HURU WAIMBAJI FULL ALBUM

    Habari wanajamvi, album ya huru waimbaji hii hapa Karibuni wahenga wenzangu.
  15. Mtu Asiyejulikana

    Katika hili Sakata nimegundua Hiphop kwa wa Tanzania siyo Uhalisia, haina issue na pia Waimbaji ni wanafiki

    Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya...
  16. Kasomi

    Tujuzane: Je, mkoa gani wenye Wasanii wengi?

    Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi. Kwa...
Back
Top Bottom