Kwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa!
Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa ajili ya mahubiri na Mambo mengine ambayo yanaambatana na Mambo ya kidini, Makanisani na Kwenye Jumuia...