waisalmu kurusha mawe hija

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Kuna utofauti gani kati ya waislam wanosafiri kwenda Uarabuni kurusha mawe na walokole wanaotumia viboko wakiamini mlengwa ni shetani?

    Hawa ni waislam, kwa hapa kwetu husafiri umbali wa kilometa elf 6 kwenda huko Saudia kuupiga mawe mnara wakiamini ni shekhtani Wakristo nao madhehebu ya walokole wanapangwa na mchungaji wao wachume viboko vya mpera, mpapai, n.k. wanaanza kuitia bakora sakafu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…