"Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi...