Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel...
Wanaukumbi.
Fromer Israel ‘mateka’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili.
Noa Argamani anaelezea wakati ambapo jengo alilokuwamo Itai Svirsky na Yossi Sharabi liliporomoka, likiwaweka chini ya kifusi, wote wawili waliuawa...
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.
Jambo la kushangaza ni kwamba...
Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti ya Israel zikiwo ngome za kijeshi. Waisraeli hao wanalalamikiwa kwa kutekeleza na kukamilisha...
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X...
Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11) baada ya kushukiwa kwa sababu walionekana kusherehekea wakati wa shambulio la kigaidi dhidi ya Marekani. Tukio hili lilizua maswali mengi na nadharia za njama.
Waisraeli watano walikamatwa na polisi baada ya kushukiwa kuwa walikuwa...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
adui
ajali ya helikopta
ebrahim raisi
ebrahim raisi afariki
ebrahim raisi ajali
helikopta
iran
israel
jana
kila mara
kufanikisha
mara
matengenezo
miaka
miaka 30
nayo
waisraeli
Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan.
If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi?
Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono...
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.
Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.
Baada ya Irani...
Maelfu ya Waisraeli wamekusanyika nje ya bunge jijini Jerusalem wakishinikiza Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu.
Aidha, waandamanaji wanataka kuitishwa uchaguzi mpya mapema, na Serikali ifikie makubaliano ya kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas tangu kuanza kwa mapigano Oktoba 7...
Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi.
CPJ...
Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano
Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano?
Panatofauti gani kati ya...
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.
[emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.