wajane

Penestomus is a genus of African araneomorph spiders in the family Penestomidae, and was first described by Eugène Louis Simon in 1902. The genus was formerly included in the family Eresidae, but was elevated to its own family in 2010. It is now considered closer to Zodariidae.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  2. Neno lihusulo wajane. Usiseme hujaambiwa!

    1 Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na vijana kama ndugu; 2 wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. 3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli. 4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa...
  3. Hivi zile faini za tff pesa zinapelekwaga wapi??pelekemi kwa yatima na wajane

    Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
  4. Mbunge Mavunde Kuwawezesha Kiuchumi Wajane Jimboni Dodoma Mjini

    MBUNGE MAVUNDE KUWAWEZESHA KIUCHUMI WAJANE JIMBONI DODOMA MJINI -Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kurejesha mikopo ya 10% -Aileta Dodoma Taasisi ya Fedha inayokopesha wajane bila riba -Awataka kuepuka mikopo ya kausha damu -Wajane kupewa mafunzo ya ujasiriamali Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini...
  5. Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    PICHA: MTANDAO Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wajane wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima wakati akizindua chama hicho tawi la Dar es Salaam. WAJANE wanaongezeka kwa kasi nchini, Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT)...
  6. Mpaka sasa tuna wajane wangapi wa viongozi?

    Hii mada imenifikirisha sana maana ule msemo wanaume tunawai kufa mapema ni kweli kabisa tena ukiwa na majukumu mazito ya kujenga familia mpaka nchi. R.I.P wote wasio viongozi na viongozi
  7. A

    Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

    Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Dr Kamatwa ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki. Suala hili halivumiliki
  8. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  9. Mbunge Juliana Shonza Awapiga Marufuku Wanaotapeli Wajane Wilaya ya Mbozi

    MBUNGE JULIANA SHONZA AWAPIGA MARUFUKU WANAOTAPELI WAJANE WILAYA YA MBOZI "Wanaibuka watu, badala ya kuwasaidia na kuwaunganisha wajane wao wanafanya kuwatapeli na kuwafilisi wajane. Nilipolisikia hilo nimelifuatilia sana, niliwasiliana na viongozi wanaohusika na Masuala ya wajane Wizarani...
  10. Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  11. Je, katika Hafla ya Jana Rufiji Wajane wa Nyerere, Mkapa na Magufuli nao walikuwepo?

    Watu wa Itifaki Mungu anawaoneni.
  12. B

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM.

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YouTube Twitter Facebook. Pamoja...
  13. B

    Mwenezi Shaka kuongoza iftar maalum ya mayatima na wajane kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA. Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha...
  14. D

    Unaijua mila ya kutakasa Wajane Ukerewe?

    Hii Ni mila maarufu sana katika kabila la Ukerewe. Mara baada ya mwanamke kufiwa na Mumewe huchukuliwa na jamii kama aliyeingiwa na mikosi na hivyo hustahili hutengwa. Hivyo ili aweze kuiondoa mikosi hiyo hulazimika kwenda kwa mtaalam ili apate kutakaswa. (Cleansing) Tendo la kutakaswa...
  15. Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  16. B

    Bomoabomoa yaingia Tarime, wazee na wajane hatarini

    13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna...
  17. Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

    Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti. Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake. Hii...
  18. Omary Kumbilamoto asema anamiliki wajane 290

    Meya wa jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto amesema wanawake wajane wa Vingunguti wanamchukulia kama mume wao kwa sababu anawaliwaza na wapo karibu naye katika kushiriki shughuli zao na kuwasaidia. Meya wa jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto Akizungumzia hilo kwenye show ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…