waje

  1. Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

    CHADEMA CHADEMA CHADEMA Mmeishiwa sasa mnakusanya watoto? Yaani wakati mama anafanikisha ujenzi wa madarasa na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupata elimu, nyie mnawatoa watoto mashuleni maana huu ni muda wa kuwa darasani mnawapelekea kwenye mikutano yenu. Hii si sawa kabisa. Acheni hii tabia.
  2. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  3. Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  4. Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  5. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  6. M

    Rais Samia uliwaalika tu Uwapendao wana Yanga ilikuwaje ghafla tena Ukawalazimisha Usiowapenda Simba nao waje Ikulu?

    Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
  7. Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  8. CHADEMA waje na mfumo wa 'Primaries'

    Nashauri chama changu cha CHADEMA waje na mfumo wa Primaries, kwenye Uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama 2025. Tena mchakato uanze 2024. Kama wanavyofanya Marekani, hii itaongeza demokrasia kwenye chama na pia wagombea kujitangaza kwa uwazi. Kura zitapigwa kimkoa au kikanda kulingana na...
  9. NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  10. T

    CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  11. Zaa kwa mahesabu, sio uzae watoto waje kufanywa Watumwa huku Duniani

    ZAA KWA MAHESABU, SIO UZAE WATOTO WAJE KUFANYWA WATUMWA HUKU DUNIANI! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! UTUMWA! Usukule! Kutumwa tumwa! Kuvujishwa jasho pasipo malipo, Kulambishwa mavumbi ya viatu pasipo utu. Kuimba pambio katika wimbo wa walao nchi. Manamba na vibarua wa mashamba, HAO ndio...
  12. Lawama yote nawapa viongozi wetu wa kanisa katoliki Kwa kukosa msimamo kwenye kusimamia sheria za kanisa, mnakubali vipi watu waje na viti vyao ?

    Hata mgeni akija kwako ni lazima umuelekeze sheria zako, huwezi kumlaumu akifanya kitu alichoomba akifanye na ukamruhusu. Rais wetu ni muislamu kwake hajui vitu vingi vya wakatoliki, achilia mbali hata ukristo kwa ujumla. Tuelewane jamani, Rais kaenda Kanisani kakalia kiti chake Kwa sababu ya...
  13. Benjamin Asukile: Hatuwaogopi Simba waje kwa tahadhari

    Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya. "Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na...
  14. Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Nilikuwa najiuliza maswali haya. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii. Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo. Nataka kuwauliza wenzangu. Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama? Naombeni majibu ndugu zangu
  15. Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  16. Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  17. Nje ya Box: Mtindo alioanza nao Rais Samia ulikuwa wa kuwavutia akina Mbowe waje wanaswe kirahisi, intelijensia ya CHADEMA iko hoi

    Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake na yeye akaanza kuwasogeza karibu kwa kuwarushia mahindi. Kinachosikitisha ni kwamba Mbowe hakuwa na...
  18. Watakaogombea Ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati

    Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati. Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo. Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
  19. Maendeleo yanaendana na mahitaji ambayo pia huwafanya Wazungu na Wachina kuja Afrika

    MAENDELEO YANAENDANA NA MAHITAJI,MAHITAJI HAYO NDIYO YANAFANYA WAZUNGU NA WACHINA WAJE AFRIKA. Leo 19:30hrs 21/05/2021 Tangu 1st hadi sasa 4th industrial revolution, maendeleo ya ubunifu wa viwanda yamekuwa yakiendana na mahitaji maalum ya matumizi ya “Materials” kuzalisha mashine...
  20. Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…