wajerumani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu wa leo

    Nimekuta alama za masanduku la wajerumani chini ya ardhi shambani kwangu

    Wakuu za Usiku huu Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa pana Sanduku la Mjerumani na kwa maelezo yao Masanduku hayo yanakuwa na vitu vya thamani so kama...
  2. Webabu

    Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  3. Mad Max

    Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  4. Mad Max

    BMW X3 Fourth Generation: Hawa Wajerumani hawataki mchezo aisee!

    Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience. Pichani juu ni generations tatu zilizotangulia, ya kwanza ipo kushoto na ya pili kulia wakati ya tatu ndio iyo katikati. Ikumbukwe BMW...
  5. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #MpumalangaCup🇿🇦 ⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 20.07.2024 🏟 Mbombela Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  6. Erythrocyte

    Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

    Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania Zaidi soma hapa: "Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
  7. M

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
  8. Teslarati

    Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  9. Replica

    Inasikitisha sana, Wajerumani waliipanga Tanga ikapangika 1891. Waswahili zaidi ya miaka 100 mipango miji changamoto

    Mji wa Tanga ulijengeka kwa haraka baada ya kutua mjerumani na moja ya kitu alichoacha alama kwenye mji wa Tanga ni kupanga mji kwa barabara 21. Miaka kadhaa nyuma nilifanikiwa kuishi kwenye mji huu kwa siku chache wakati huo google maps ndio inaanza kuwa maarufu nchini. Pamoja kwamba wenyeji...
  10. Lycaon pictus

    Kumbe Abushiri wa Tanga aliyepigana na wajerumani na kunyongwa hakuwa na maana yoyote

    Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
  11. Venus Star

    Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Za mchana wana JF. Natumaini mu wazima wa afya. Leo nataka kuongelea ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu ni wakutisha sana. Historia ya ukatili huo imefichwa watu wachache wanaoujua ukweli wamezeeka sasa. Historia hii inapotea. Wajerumani kuua watawala Wajerumani waliwachinja...
  12. Shujaa Mwendazake

    Wajerumani walifikiria zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko kandanda

    Washindi mara nne wa Kombe la Dunia walitoka katika hatua ya makundi nchini Qatar Kuondolewa mapema kwa Ujerumani kutoka kwenye Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar ni "kufeli sana" kwa taifa hilo, kulingana na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Urusi Valery Gazzaev. Alishutumu wachezaji wa...
  13. Mohamed Said

    Askari wa Kizulu Katika Jeshi la Wajerumani Tanganyika 1890s - 1914

    ASKARI WAZULU KATIKA JESHI LA WAJERUMANI 1890s - 1914 Kwa miaka mingi bila mafanikio nimekuwa nikitafuta picha ambayo inaonyesha askari mamluki waliokwenda kuchukuliwa Mozambique na Hermann von Wissmann kuja German Ostafrika kama Tanganyika ilivyokuwa ikijulikana kuja kupigana na Bushiri Al...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
  15. KndNo1

    1JZ/2JZ haiwezi kupambana na Wajerumani

    Habari zenu wadau.. Toyota fans mara nyingi tukiongelea gari moto za kijerumani kama Bimmer huwa wanarukia kwenye hizo engine kuwa ni mwisho wa matatizo.. Wazungu kuwa wamenyoosha mikono kwa hizo engine.. Hii imekuwa myth.. Leo naiburst hii myth.. JZ hizi engines zilikuja kureplace flagship ya...
  16. Kasomi TV

    Wajerumani wapiga kura leo kuanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa Angela Merkel

    Kinyang'anyiro cha kuamua ni nani atakayemrithi Kansela wa Ujerumani, maarufu na ambaye amehudumu kwa muda mrefu zaidi Angela Merkel kinaweza kuwa kikali huku Wajerumani wakianza uchaguzi wa wabunge hii leo. Mitaa ya Mji mkuu Berlin inakaribisha mashindano yam bio za marathoni za mwaka , lakini...
  17. Gordian Anduru

    Wajerumani wananufaika na Mjusi wetu

    MJUSI WETU Mwaka 1909 hadi 1913 watu 500 hukoTendaguru Lindi walihusika kufukua mabaki ya mifupa ya kiumbe mkubwa sana. Mifupa hiyo ilikuwa na uzito wa kilo 250,000 ilichukuliwa na kusafirishwa kwenda nchini Ujerumani ambapo iliunganishwa na kupatikana kiumbe kamili ambacho kilikuwa na urefu wa...
  18. MKWEPA KODI

    Hii ndiyo sababu ya Wajerumani kupinga mradi wa umeme katika bwawa la Stiegler's Gorge

    Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na...
Back
Top Bottom