wajibu wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

    Wakuu, Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa. Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao...
  2. Kikwava

    Ukiwa kiongozi wa umma wewe ni mtumishi wetu pokea Simu za Wananchi wako

    Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei. Viongozi wetu ukiwa mbunge, waziri, DC, RC, au naibu waziri, tunaomba simu ikiita hata Kama huna muda kwa wakati...
  3. M

    Hivi hakuna jema linalofanywa na Serikali

    Hebu tuwe wakweli ndugu zangu watanzania, ni kweli hakuna jema linalofanywa na Serikali yetu? Mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana. Sijasema viongozi wetu ni malaika hapana, lakini ni kweli hakuna wanachofanya? Ni kweli wanauza nchi? Kuongoza nchi sio kama kuongoza familia. Kwenye...
  4. ngara23

    Nawapongeza serikali Kwa ukarabati wa meli Ya MV Victoria Hapa kazi tu

    Mnyonge mnyongeni lakini hakini yake mpeni. Leo nimesafiri na hii meli kutoka Mwanza kuelekea Bukoba kusema la ukweli nimefurahia safari. Meli inavutia mno seat ziko vizuri, huduma ya chakula, upande wa bar Kuna vinywaji na burudani hadi nimeisahau kama Niko safarini. Wahudumu wameli wako...
  5. T

    Je, ni wajibu wa Serikali kulinda aina na Quality ya vyakula vyetu

    Kibiashara ina make sense. Ingawa quality ya vyakula vyetu inakuwa compromised. Ebu tujaribu kudescribe baadhi ya matunda yetu kwa sasa, kwa kuanzia tu : 1) Nanasi: Ili la kisasa ni kubwa balaa kama mpira, ila ukilikata unakutana na maji tupu, ule utamu wa nanasi umepotea kabisa, hakuna sukali...
  6. Mr George Francis

    Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  7. The Sheriff

    Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
Back
Top Bottom