Wakuu
Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!
Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma...