wajiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  2. F

    Pre GE2025 Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Source: Clouds FM Power Breakfast. Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale. Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
  3. Vincenzo Jr

    Wazee wawataka mangungu, try again wajiuzulu

    Baada ya Mnyama Simba Sc kupokea kipigo cha goli 1-5 dhidi ya Wananchi Yanga Sc, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa wikiendi iliyopita Wazee wa Klabu ya Simba maarufu kama Wazee wa Simba, wamewataka viongozi wa Simba akiwemo Mwenyekiti wao Murtaza Mangungu na Try Again...
  4. Jaji Mfawidhi

    Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  5. Upekuzi101

    Hali ya Uongozi na Changamoto za Tanzania: Je, Viongozi Wetu Wanatimiza Wajibu Wao?

    Habari Jf. Hivi Tangu Tanzania ipate Uhuru Kuna viongozi wangapi wamejiuzulu nafasi zao pale wanaposhindwa kukidhi mahitaji? Imekuwa kawaida sana kwa viongozi wengi katika nchi ya Tanzania kutokuwa na sense ya responsibility pale wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao. Waziri kama Mwigulu na...
  6. Ex Spy

    Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  7. J

    Mwigulu na Ndumbaro wajiuzulu kashfa ya kufuta madai ya Serikali Bilioni 19.7

    Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7. Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
  8. Richard

    Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  9. Eddo Sambai

    Russia: Magavana 4 wajiuzulu

    Magavana wa majimbo manne ya nchini Urusi wamejiuzulu jana wakati huu ambao nchi hiyo ikijiandaa kukabiliana na athari za vikwazo vya kiuchumi kutoka katika Nchi za Magharibi, REUTERS wameripoti. Majimbo yaliyotajwa kujiuzulu kwa Viongozi hao ni pamoja na Tamsk, Saratov, Kirov na Mari El ambapo...
  10. M

    Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

    Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena. COVID-19 waachie ngazi mara moja
  11. beth

    Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi. Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel...
  12. Sam Gidori

    #COVID19 Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  13. Fatma-Zehra

    National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

    Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
  14. Lord OSAGYEFO

    Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

    Wadau nawasalimu, Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake. Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa...
Back
Top Bottom