Magavana wa majimbo manne ya nchini Urusi wamejiuzulu jana wakati huu ambao nchi hiyo ikijiandaa kukabiliana na athari za vikwazo vya kiuchumi kutoka katika Nchi za Magharibi, REUTERS wameripoti.
Majimbo yaliyotajwa kujiuzulu kwa Viongozi hao ni pamoja na Tamsk, Saratov, Kirov na Mari El ambapo...