Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine.
Eeeehh mara hivi mara vile.
Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani.
Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana.
Ni biashara ya upande mmoja.
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi
nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
Habari
Jamani wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipo hawa vifupi jamani dah.
Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ila warefu hata akiwa mbali unatamani muda wote awepo karibu mchumuchumu tu.
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume...
1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe.
2.Kimapenzi wanarizisha?
3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo
Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake..
Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.