wakamatwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  2. MamaSamia2025

    Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
  3. JanguKamaJangu

    LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  4. T

    Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  5. Chachu Ombara

    Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  6. R

    Luhaga Mpina: Mwigulu Nchemba, Mbarawa, Mkurugezi wa TRC na wote waliohusika wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa sababu sheria za nchi za manunuzi ilikuwa inatekelezwa wakayti huo haziruhusu mambo hayo, lakini...
  7. G-Mdadisi

    Mauaji Wanawake wawili Zanzibar. ZAFELA, TAMWA ZNZ wataka wahusika wakamatwe

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI 28-Mei-2023 Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) zimesikitishwa kwa vitendo vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake wawili yaliyotokea hivi karibuni Bububu Kijichi na Mbuzini...
  8. Dalton elijah

    Mbeya: Polisi yaagiza wasiotii wimbo wa Taifa wakamatwe

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema litaanza kuwachukulia hatua wananchi wanaokaidi kutii sheria za nchi kwa kutokuwa na utayari wa kusimama na kuimba wimbo wa taifa kwenye shughuli za kiserikali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema leo Ijumaa Aprili 21, 2023 ikiwa ni...
  9. Idugunde

    Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

    UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
  10. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  11. JanguKamaJangu

    Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  12. BigTall

    Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  13. kavulata

    Waamuzi wakamatwe na kuhojiwa

    Mpira wa miguu una wadau wengi sana duniani, Africa na Tanzania. Ukifanya kosa kwenye mpira kama mchezaji kukosa nafasi ya wazi ya kufunga, mchezaji kumuumiza mchezaji, timu kufungwa au waamuzi kuchezesha mechi vibaya Ujue unaumiza wengi sana wa jinsia, umri, dini, taaluma na hadhi tofauti kwa...
  14. J

    Dkt. Mpango: Wezi wa kutumia Bima ya Afya wakamatwe popote walipo

    MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote walipo wala msijali vyeo vyao awe ni daktari, natumaini hamtotumia maelekezo hayo kuone wetu wengine”-...
Back
Top Bottom