Watu wa Dar mko wapi?
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amezungumzia namna ambavyo watu wengi wa Dar wanapenda na kutaka kumiliki ardhi.
Chalamila amesema kuwa kiuhalisia sio kila mtu anaweza kumiliki ardhi na badala yake kuwe na utaratibu wa watu...
Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja
Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa alikuwa mbunifu sana.
John Pombe Magufuli akaisogeza mbezi Luis
Hii imepekekea wamikoani wengi...
Dar is big Slum ni Jiji la hovyo sana,mvua kidogo mnaanza kutafutana,Barabara shida,foleni,vinyesi na upuuzi kama huo.
Bado mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeendelea kuwa kilio kwa wakazi wake kutokana na adha ya usafiri wanayoipata kufuatia baadhi ya...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo.
Akiwasilisha taarifa...
Wakuu,
Nimesoma katika magazeti kadhaa Kwa kipindi Cha hivi karibuni habari kuhusiana na ukame unaotokana na mabadiliko Tabia ya nchi ambayo pamoja na mambo mengine yanasababishwa Kwa kiasi kikubwa sana na shughuli za Binaadamu.
Leo gazeti la JAMVILAHABARI wameandika kuhusu MTO RUVU kukaushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.