Kange ni mtaa unaokua kwa kasi sana mkoani Tanga, wilaya ya Tanga mjini. Miaka michache mbeleni, vitega uchumi vingi vitahamia Kange kutokana na idadi ya watu wanaohamia kuongezeka kwa haraka.
Hata hivyo, wakazi wa Kange bado wana changamoto kubwa ya usafiri. Wakazi wa Kange-Kasera wamekua...